Facebook

Tuesday, 14 October 2014

Makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad Zanzibar,aipinga Rasimu ya Katiba

 " Wananchi , katiba haikubaliki kwa Wazanzibar, mimi mwenzenu siikubali sijui nyinyi wenzangu, katiba hii haina maslahi kwa Wananchi wa Zanzibar na hatuitaki". Maneno hayo amesema Katibu mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad

Nini maoni yako katika hilo?
Songombingo la Rasimu ya katiba bbado linaendelea Zanzibar,baada ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kufukuzwa kazi na Rais wa Zanzibar,Mohamed Shein hivi sasa Makamu wa Kwanza wa Rais
Maalim Seif Sharif Hamad naye ameipinga rsimu hiyo.

Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad amesema hiki...... 
" Wananchi , katiba haikubaliki kwa Wazanzibar, mimi mwenzenu siikubali sijui nyinyi wenzangu, katiba hii haina maslahi kwa Wananchi wa Zanzibar na hatuitaki".

 Maneno hayo amesema Katibu mkuu wa CUF ambaye pia ni Makamu wa Rais wa kwanza wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad

Nini maoni yako katika hilo?

0 comments:

Post a Comment