Facebook

Sunday, 12 October 2014

Nyuma Ya Pazia Kuzama kwa Meli Ya Titanic-Sehemu Ya Pili

Photo: UKWELI KUHUSU KUZAMA KWA TITANIC--Sehemu ya 4

Naam matajiri wote walishaingia ndani ya Meli wakiongozwa na John Jacob Astor  ambaye kama nilivyosema hapo awali huyu ndiye alikuwa bilionea namba 1 duniani kwa wakati huo, 
Hakuna yeyote aliyejua kwamba Meli hii ya kifahari ilikuwa inageuzwa kaburi lao muda mfupi ujao,
Harufu ya damu ilinukia kwa kiila Jesuist aliyekuwa melini,hii inathibitishwa na Edward Smith ambaye alikuwa ni nahodha wa Titanic lakini akiwa ni Jesuit hodari.

Edward Smith amekuwa nahodha kwa miaka 26 akiwa na uzoefu wa kutosha na ruti za bahari ya Atlantiki. Amefanya kazi kwa miaka mingi akiwa ndani ya kampuni ya J.P. Morgan.

Hatimaye ilipofika tarehe 10 Aprili, 1912 Titanic iling'oa nanga chini ya nahodha Edward Smith kwa maelekezo ya mkuu wa shirika la Jesuits Francis Browne ambaye naye alikuwepo ndani ya paradiso hiyo inayoelea.

Mwandishi Eric J. Phelps katika kitabu chake, Vatican Assassin anasema; "Francis Browne aliingia ndani ya Titanic tayari akiwa na kurunzi na kamera ya kupiga picha watakaokufa hasa walengwa".

Si Edward Smith tu, lakini kila Jesuit huamini kwa kiapo kuwa amri ya mkuu wao ni amri kutoka kwa Mungu ambaye ni Bwana wa uhai na mauti. Kwa jinsi hiyo saa na dakika zilipowadia Edward Smith alipokea amri ya kutoka kwa wakuu " KIJANA ZAMISHA HIYO MELI HARAKA" 
Na ndipo Edward akaongeza kasi ya Meli kuelekea usawa ule aliolekezwa na wakuu, na wakati huo ndio Francis Browne alikuwa bize na kurunzi mkononi akiamini Camera yake ingepata picha za maiti nyingi za vibopa muda si mrefu....ITAENDELEA.
Naam matajiri wote walishaingia ndani ya Meli wakiongozwa na John Jacob Astor ambaye kama nilivyosema hapo awali huyu ndiye alikuwa bilionea namba 1 duniani kwa wakati huo,
Hakuna yeyote aliyejua kwamba Meli hii ya kifahari ilikuwa inageuzwa kaburi lao muda mfupi ujao,
Harufu ya damu ilinukia kwa kila Jesuist aliyekuwa melini,hii inathibitishwa na Edward Smith ambaye alikuwa ni nahodha wa Titanic lakini akiwa ni Jesuit hodari.

Edward Smith amekuwa nahodha kwa miaka 26 akiwa na uzoefu wa kutosha na ruti za bahari ya Atlantiki. Amefanya kazi kwa miaka mingi akiwa ndani ya kampuni ya J.P. Morgan.

Hatimaye ilipofika tarehe 10 Aprili, 1912 Titanic iling'oa nanga chini ya nahodha Edward Smith kwa maelekezo ya mkuu wa shirika la Jesuits Francis Browne ambaye naye alikuwepo ndani ya paradiso hiyo inayoelea.

Mwandishi Eric J. Phelps katika kitabu chake, Vatican Assassin anasema; "Francis Browne aliingia ndani ya Titanic tayari akiwa na kurunzi na kamera ya kupiga picha watakaokufa hasa walengwa".

Si Edward Smith tu, lakini kila Jesuit huamini kwa kiapo kuwa amri ya mkuu wao ni amri kutoka kwa Mungu ambaye ni Bwana wa uhai na mauti. Kwa jinsi hiyo saa na dakika zilipowadia Edward Smith alipokea amri ya kutoka kwa wakuu " KIJANA ZAMISHA HIYO MELI HARAKA"
Na ndipo Edward akaongeza kasi ya Meli kuelekea usawa ule aliolekezwa na wakuu, na wakati huo ndio Francis Browne alikuwa bize na kurunzi mkononi akiamini Camera yake ingepata picha za maiti nyingi za vibopa muda si mrefu....

  ---ITAENDELEA--

Imeandaliwa na........... 
                                     Katemi Methsela
                                      +255716418657
                                      +255785442107

0 comments:

Post a Comment