
Taarifa ndani ya klabu yake
zinasema kuwa mchezaji huyo amesimamishwa kusubiri matokeo ya uchunguzi
wa polisi. Taarifa za kukamatwa kwake zilitolewa mapema kupitia gazeti
la The Sun. Kukamatwa kwake kunakuja muda mfupi kabla hajasafiri na timu
yake ya Sunderland
kwenda kukutana na Hull kwa michezo ya Ligi kuu ya England iliyopangwa
kuchezwa leo usiku. Sunderland imesema haitaendelea kuzungumzia
kukamatwa kwa mchezaji wake.
0 comments:
Post a Comment