Facebook

Monday, 8 September 2014

Congo watangaza hatua mpya za kupambana na Ebola.

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
imetangaza hatua mpya za kupambana na
ugonjwa wa Ebola wiki 3 baada ya ugonjwa
huo kuwauwa watu 32 miongoni mwa 59
waliombukizwa na virusi hivyo.Waziri wa Afya
nchini humo amesema kituo cha dharura cha
kuchunguza virusi vya Ebola kimewekwa
jimboni Equateur,ambako kamati ya pamoja
ya serikali,shirika la afya ulimwenguni WHO,
shirika la UNICEF ,na lile la madaktari
wasiokuwa na mipaka MSF,kuwahudumia
wagonjwa.

0 comments:

Post a Comment