
1 - 0 Theo Walcott aliwapa uongozi Arsenal kwa goli la dakika ya 40 kipindi cha kwanza.
2 - 0 Alexis Sanchez akafunga goli la pili kwa shuti la umbali wa mita 25.
3 - 0 Beki Mjerumani Per Mertesacker akafunga kwa kichwa dakika ya 61
4 - 0 Akitokea benchi Olivier Giroud alifunga goli la mwisho kwa Aresal usiku wa leo na kuwamaliza Villa 4 - 0 kombe la FA.
0 comments:
Post a Comment