Tuliowengi tunatumia mozzila, wajanja wanatumia CHROME, wanaojua maana ya Internet Vulnerabilities wanatumia Safari, wanaopenda kutumia mda wao na site moja moja wanatumia Opera (sisemei kwa mobile phones) kwa ambao wanaona uvivu na kuwa na mda wa kuchezea sana wanatumia explorer....
SASA TUNAANZA
Hizi browsers hasa kwa mfano wa leo ntacheki sana na MOZILLA FIREFOX hii browser inatumiwa na wengi na ni free source, kwa ajili ya watu kushare idea za coding styles....kama wanavyosema kwenye privacy policy za mozilla lakini kumekuwa na kundi kubwa la hackers ambao wengine hawajui kama wanakuwa wanhack informations kwa manufaa gani...zaidi akomoe tu watu (black hat hacker). na wengine wanahack kwa manufaa ya kuokoa na kujenga (white hat hackers) ambao lengo lake anashow mapungufu yaliyopo kwenye systems.
ENHEE APO NDO INAKUAJE KUAJE
Kwenye mozilla leo ntaonesha vitu vichache ambavyo huweza kumfanya mtu atoe informations zake bila ya yeye kutaka....NA LEO NTADEAL na KIMOJA TU na hicho ni EXTENSIONS>>>PLUGIN
kwa upande huu wa extensions hackers huweza kutuma malicious adwares mbali mbali ambao baadae anaweza kutumia softwares hiyo kama plugin kwa browser hii na ku ENCRYPT data kutoka kwa internet history, bookmarks an kuongeza toolbars ambazo wakati mwingine huwezi kujua kama kuna information zinakuwa detected.
Hapa nazungumzia watu kama keyloggers ambao wamegawanyika katika makundi zaidi ya matano japo kwa case hii ya leo ntazungumzia keyloggers wa AINA MBILI:
Kwanza kuna:
Packet analyzers:.> hawa jamaa kazi yao kubwa ni ku ENCRYPT paswords kwenye web systems kama http post: namaanisha kama web hai ENCRYPT paswords manake ni rahisi kuwa hacked hizo informations ....Tunasema hivi data zilizokuwa ENCRYPTED ni cipher text. na data ambazo hazijawa ENCRYTED (yaani decrypted) tunaziita plain text
Baada ya kumcheki huyo aina ya keylogger kuna huyu tunamuita Form grabbing based huyu jamaa kazi yake ni KUREKODI DATA ZAKO ULIZOINGIZA KWENYE FORM FULANI KWENYE WEBSITE kabla ya data zako kuwa transimitted (kuhamishiwa) kwenye internet ama mfumo wa HTTPS:
UFAFANUZI ZAIDI KWA HUYU FORM GRABBING BASED KEYLOGGER
yani mfano wewe umejaza form fulani katika internete website e.g facebook, Complex, Yahoo na kwingineko...Sasa iko hivi wakati wewe unasubmit form yako kwa kawaida mpaka uwe VERIFIED kuLOGIN ama kuSUBMIT ile form data huwa zinapitia device servers nyingi kwa makadirio 4-7 na kuendelea kulingana na website uliyojaza hyo form....sasa zile details wakati zinapitishwa pitishwa kwa server devices kabla ya kufika kwa database ya ile website e.g mysQl ama mysQli na zinginezo....Bas hacker huyu yeye anazi DECRYPT na kuzi-leak baadhi ya info zako kwa hizo devices kwa heavy softwares ambazo zinauwezo wa kudetect info za website fulan ama server fulani.
wako na wengine wengi ambao hao complex huwa tunawaita OPERATING SYSTEM BASED MALICIOUS yaani ni wale ambao wanachukua informations mapema sana wakati ukiwa unaTYPE kwenye keyboard yako na marangingi huwa wanatoa taarifa kwa haraka sana pindi unapogusa tu keyboard yako....hao ni kama API-based, Kernel based na Hypervisor-based
SASA PRESHA IMEPANDA EEH??? SUBIRI WANA NAMNA YA KUWAZUIA
Kwa baadhi ya hackers hutuma plugin kama software kwenye browser yako na kutaka uinstall kwa computer kama plugin kwa browser....Moja ya hizo plugin ni "PINTEREST TOOL" ambayo ni TROJAN PWS ZAQ...mfano wa mambo ambayo malware huyu kuchukua data ni hivi
SOLUTION SASA TUNAFANYAJE:
Kwa wale ambao wanatumia AVAST VERSION 8. Hasa wenye internet security ...kazi ni ndogo sana wanachopaswa kufanya ni ku CLEAN BROWSER kutoka kwa AVAST system kama inavyoonekana hapa:
Baada ya HAPO...UKO SAFE lakini kama ungependa kujihakikishia zaidi click zile browser zinazoonekana hapo kwa avast alafu RESET yaani ufte information zote ili uanze upya kama umetoka kunistall vile
JE NA SISI TUSIO NA HIYO AVAST (ANTIVIRUS) TUNAFANYAJE???
Complex hatumuachi mtu....kwa wasio na Avast watumie CCleaner software kuCLEAR informations ambazo pengine hawajui kama zimekuwa ni hatari kwa matumizi yao....Unaweza ipata CCleaner kwa forums zetu hapa hapa ama unaweza BOFYA HAPA
JE na SISI TUSIO NA HIYO AVAST INTERNET SECURITY????
Complex hatuna historia ya kuwaacha watu....Kwa wasio na hiyo avast internet security Click Hapa
Na kama uktaka ku ACTIVATE AVAST INTERNET SECURITY Cheki kwa Forums zetu hapo ipo njia ya kuactivate
Na kwa wale ambao wangependa tu wa Clean browser zao ...hawahitaji kudownload full avast internet security zaidi ku Clear hili tatizo la plugins kwa browsers zao Click hapa
USHAURI WETU COMPLEX
Endapo umeingia kwenye mtandao fulani hakikisha hau INSTALL chochote kinachoitwa PLUGIN ambazo hazieleweki kazi yake ni nini.....Moja ya Plugin za kuruhusu installation ni adobe flashplayer, adobe shockwave na zipo chache zinazojieleza wazi kazi zake muhimu
Ikitokea unaplugin umeinstall na huielew, cheki nasi kwa forums zetu post tatizo lolote na tutawekana sawa.....Kesho somo la kusecure FACEBOOK ACCOUNT ntaliweka hewani vizuri ....Santeni na msisahau kushare kwa wenzetu....Complex System Advanced Computing Skills
Like
VENON JAY, Emanuel Abraham and shycomm likes this post.
Responses (3)
-
Dah! aseeee nimekosa la kusema hapa mzee yaani nimebaki mdomo wazi tu....kumbe wakati mwingine tunakua hacked kizembe hiviiiiiiii ila mi nimefurahi sana wanavyopiga kazi hawa jamaa
FORM GRABBING BASED KEYLOGGER
HAHAHA HARAFU CHEKI SWAGA ZAO SASA
,,,,,Like Be the first to like this post.
0 comments:
Post a Comment