Facebook

Friday, 22 May 2015

Jifunze namna ya kutumia 'torrents' kwa ufasaha zaidi katika Computer yako.

http://www.hideipvpn.com/wp-content/uploads/2013/03/uTorrent.png 
Leo Ndugu zetu tunajifunza kidogo juu ya Torrents, Unajua ni nini Hii, Kazi zake, Uwezo wake, Namna ya Kutumia, Jinsi ya kuepuka Viruses...Karibu
Torrents ni meta search engine ambayo huwezesha mtumiaji wa search engine hiyo kuweza kutafuta vitu vilivyomo kwenye search engine hiyo pekee...hii sio kama google ila ina jitegemea ina server yake na ina site nyingi xana yaani ni dozens of dozens of sites huusika na torrents...

Torrents Hukuwezesha mtumiaji kutafta vitu mbali mbali kama applications, games, videos, music, series, documents na vinginevyo vingi sanaa......Haihitaji Registration kutumia, hupatikana kwa Web address hii www.torrents.eu

Moja ya site muhimu sana za torrents ni www.piratebay.se hapa ndo kuna mizigo ya software, unaweza ukadownlod hata mwaka mzima kadri utakavyo, haikatai, unaweza stop, pause na baadae ukaresume....Kumbuka torrents ziko nyingi sana

NAANZAJE ANZAJE SASA??
Complex System tunakupa software hii ya Torrents, unachotakiwa kufanya INSTALL kwenye computer yako, ina ka process kidogo ili kukamilika, hakikisha una ALLOW firewall block iwe limited, kwa kuwa torrents hudownload file ambazo ni Nyeti sana, hazipatikani kizembe zembe

LENGO: Torrents ni Search Engine (META SEARCH ENGINE) ambayo hujitegemea, ili uweze kudownload kupitia Torrents lazima uINSTALL software inayohusika na wao, kuna Utorrents, Bit Torrents na zingine nyingi sana.

JINSI YA KUDOWNLOAD

Ukishafungua website ya torrents yoyote unayoijua wewe mfno www.piratebay.se unaandika pale sehemu ya kusearch chochote unachotaka wewe, lakini kiwe specific, mfano "windows 8 pro" then yenyewe itakuletea results mbali mbali kama inavyoonekana hapa

http://www.complexsystem.net/discussions?controller=attachment&task=displayFile&tmpl=component&id=76

Sasa Unapoenda kwenye kusearch hakikisha unachukua ile yenye HITS nyingi ndo mara nyingi ya uhakika, basi cheka na hiyo kama inavyoonekana hapa, yaani yenye HITS nyingi huonesha imefanikiwa kwa kiwango kikubwa....Na mara nyingi ndo iliyo secure

http://www.complexsystem.net/discussions?controller=attachment&task=displayFile&tmpl=component&id=77

Inapofunguka hakikisha unaenda kwa LINK iliyoandikwa GET THIS TORRENT kama ilivyooneshwa hapa
Baada ya kufanya hivyo moja kwa moja utaweza kuLAUNCH Utorrents software na hapo ndo download zitaanza, fanya hvyo kwa movies, documents, applications na vitu vingine mbali mbali.....

http://www.complexsystem.net/discussions?controller=attachment&task=displayFile&tmpl=component&id=78

ANGALIZO: Epuka kuclick vi LINK vya pembeni kwa torrents, kumbuka torrents hawafanyi viti halali kwa soko la softwares duniani so link zingine huweza ku contain viruses, hakikisha ANTIVIRUS yako inakuwa ACTIVE na UPDATED.......


Download Here

BITtorrents Free Download

Panapo Swali kama Kawa ULIZA unajibiwa mapema sana tunapolipata hapa hapa kwenye forums.

0 comments:

Post a Comment