Friday, 22 May 2015
How to Search a person or anything by using IMAGE search functionality.
Jifunze namna ya kutafuta MTU, KAMPUNI, SHIRIKA, TAASISI, VIKUNDI ama kitu chochote kwa kutumia picha ambayo inahusiana na mtu, kikundi ama kampuni/shirika husika.
Nikupe mfano mmoja, wewe umeambiwa utafute Njia za Uzalishaji wa zao la KAHAWA aina ya ROBUSTA, na kiukweli hujawahi ata kuishika hiyo kahawa, lakini umepewa picha ya kama SAMPLE ya hiyo kahawa tu.
Mfano mwingine kwa ajili ya kuelewa zaidi, umepewa picha ya Jamaa na unaambiwa huyu ndiye Mkurugenzi unayetakiwa kuonana nae ili upewe kazi, basi unaisearch ile picha ili upate related posts kuendana na picha hiyo kwa ajili ya more details. unaweza kuta huyo mkurugenzi ni JAMBAZI maarufu huwamaliza watu kwa mfumo wa kuwapa kazi...ISOME HII Usiibiwe.
Na mfumo wetu wa leo utahusisha SEARCH ENGINE nguli sana DUNIANI GOOGLE
ingia google kwa addresss hii http://google.com/
Baada ya hapo TYPE NENO (ile sehemu ya kusearch-{searchBox}) "Complex System Tanzania" ama neno lolote/kitu chchote unachpenda kusearch
Alafu Nenda kwa upande wa IMAGES
Baada ya Hapo select search by IMAGE UPLOADS
Hii itakuwezesha wewe ku upload image moja unayotaka kusearch zaidi ili ujue zaidi kwa image ya yule mtu/kampuni/taasisi ama shirika, kama hivi
Naamini waalaau kidgo tumeenda sawa wadau na hapo sasa tunaweza search na kupata related pictures, posts na link kuendana na picha hyo.
Kama Tumeelewana THANK YOU!....Ili tuwe ACTIVE tunapoelekezana kitu basi napenda sana mtu ajiulize swali afu aweke kama changamoto hapa watu tu-DISCUSS
Tusiishie tu kusoma na kuondoka, tusome afu tusisite kuuliza swali pale ambapo tunapata wazo fulani kwa technique husika.
0 comments:
Post a Comment