Idara ya upelelezi ya nchini
marekani FBI linachunguza kwa ukaribu madai ya maelfu ya accounts za
watu maarufu kutekwa,na kinachotafutwa hasa ni picha za utupu za watu
hao maarufu ambazo zimekua zikianikwa mitandaoni bila ya muwekaji
kujulikana.
Hili limemkuta mshindi wa tuzo ya Oscar Jennifer Lawrence ambaye picha zake liachiliwa mtandaoni,kampuni ya utengenezaji wa simu za mkononi Apple wamesema wao wanachunguza ikiwa uvujaji wa picha hizo umesababishwa na iCloud .
0 comments:
Post a Comment