Zlatan Ibrahimovic jana usiku alifunga magoli
mawili dhidi ya Estonia na kufikisha jumla ya
magoli 50 na kuwa mchezaji mwenye magoli
mengi zaidi katika timu ya taifa ya Sweden
Friday, 5 September 2014
Zlatan Ibrahimovic aweka rekodi ya kipekee Sweden.
Related Posts:
Kocha wa Uruguay Tabarez kujiuzulu kufuatia adhabu kali aliyopewa Suarez. Kocha wa Uruguay Oscar Tabarez amesema kuwa atajiuzulu kama mwakilishi wa FIFA katika kamati mbili tofauti za kiufundi kupinga adhabu kali iliyotolewa na shirikisho hilo dhidi ya nyota wa Uruguay Luiz Suarez. … Read More
Hofu imetanda katika kambi ya Brazil Kocha wa wenyeji wa kombe la dunia Brazil, Luiz Felipe Scolari amekiri hofu imetanda katika kikosi chake baada yao kuratibiwa kuchuana na wapinzani w… Read More
Safari nzima ya michuano ya kombe la dunia Brazil hii hapa… Read More
Nigeria yasusia mazoezi Kikosi cha Nigeria katika kombe la dunia kimesusia kikao cha mazoezi kama ilivyopangwa kwa sababu ya kukosa kulipwa fedha zao za ziada.… Read More
Maradona-‘FIFA wanapaswa kumtupa Suarez Guantanamo’ Suarez akishika meno yake kuangalia yapo auyametoka baada ya kumng’ata mlinzi wa Italia Giorgio Chiellini wakati Uruguay ilipokuwa inamenyana na Italia kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2014, Brazil. Diego Mara… Read More
0 comments:
Post a Comment