Facebook

Friday, 11 July 2014

Arsenal wamalizana na Barca kuhusu Sanchez.

 Photo: ARSENAL, BARCA WAKUBALIANA KUHUSU SANCHEZ
Arsenal wapo karibu kukamilisha usajili wa Alexis Sanchez kutoka Barcelona. Timu hizo mbili, kimsingi zimefikia makubaliano kuhusu mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ambaye tayari amefikia makubaliano ya maslahi binafsi na Arsenal.
Arsenal watalipa takriban pauni milioni 30 kumnunua mchezaji huyo wa Chile, ambaye alijiunga na Barca akitokea Udinese mwaka 2011, na kupachika mabao 43 katika mechi 119.
Yamesalia masuala madogo madogo kabla mkataba wa Sanchez haujakamilika kabisa.
Arsenal pia wapo karibu kumsajili Mathieu Debuchy kutoka Newcastle United.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment