
DIAMOND ASEMA

Nipo nominated kwenye category 5.
Best male east afrika
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo (nymber1 rmx)ft davido
And Best afrikan artist of the year
.kuvote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.
Ahsanteni
— in Los Angeles, CA, United States."
Aliandika kama unavyoona hapo juu kwenye ukurasa wake wa facebook.
Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata habari mbalimbali zinazowahusu mastaa.
0 comments:
Post a Comment