
Rais
Barack Obama akiwa na binti yake Malia Obama ambaye ametimiza miaka 16,
siku ya Jualai 4, ambayo pia ni siku ya sherehe za uhuru wa Marekani.
Huku Wamerekani wakisherehekea siku ya uhuru (Julai 4), familia ya
Obama wao walikuwa na kitu kingine cha kusherehekea, nacho ni Malia
Obama kutimiza umri wa miaka 16 (Sweet 16).
Binti wa kwanza, ambaye hivi karibuni alionekana akichukua mafunzo ya
televisheni mjini California, alikuwa na miaka 10 wakati baba yake
alipochaguliwa kuwa rais wa Marekani.
Miaka sita imepita, nchi hiyo imemshuhudia akikuwa, mrefu, mpenda
mitindo, binti anayepevuka, akiwapa wazazi wake sababu nyingi za
kujivunia naye.

Mama akiwakumbatia wanawe walipokuwa kwenye ziara ya siku sita nchini China Machi, 2014

Familia ya Ikulu ya Marekani ikiwa inasherehekea sikukuu ya Christmass, Desemba 2013.

Barack Obama akitembezana na malkia wake katika viunga vya White House Januari, 2014.

Rais Barack Obama akiwa na mwanawe Malia Obama wakishuka kwenye Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam, Julai 2013.

Ndugu wa pekee wakiwa kwenye Ukuta wa Berlin, Ujerumani Juni 2013.

Familia ya Obama ikisherehekea miaka 10 ya kuzaliwa ya Malia Obama, Montana, 2008.
0 comments:
Post a Comment