NI AJALI MBAYA YA HUYU JAMAA NA NDEGE ANGANI

Pamoja na ajali hii, hakuna mtu aliepoteza maisha ila wote walipata
majeraha madogomadogo baada ya kuanguka kwenye umbali wa futi 75 na
wakapelekwa hospitali ambapo mwenye Parachuti John Frost (49)
aliruhusiwa kuondoka.
Hili tukio limenaswa jinsi lilivyotokea kwa sababu kulikua na mpiga
picha aliekua na camera karibu na alikua anashuhudia kila kitu.
.
0 comments:
Post a Comment