Hatimaye rais wa Nigeria Goodluck Jonatan arejea rasmi nchini kwake Akitokea Germany alikoenda kwa matibabu!!
Rais huyo anarejea huku nchi hiyo ikiwa kwenye matatizo makubwa hususan Maovu yanayofanywa na kikundi cha Boko Haram.
Boko Haram hapo jana wametangaza wanataka kujitenga na taifa hilo,huku wakitaka kutengeneza dola yao katika majimbo wanayoyashikilia kwa kuyateka hadi hivi sasa.
0 comments:
Post a Comment