Wakipanga kikosi tofauti kabisa, huku Kipa David De Gea akiwa ndie pekee kutoka timu iliyocheza mechi mbili
za Ligi zilizopita, Manchester United imetandikwa 4-0 na Timu ya daraja
la kwanza MK Dons na kutupwa nje ya Capital One Cup kwenye Raundi ya
Pili tu.Hadi Mapumziko, MK Dons walikuwa mbele kwa goli 1-0 alilofunga Grigg ambaye Kipindi cha Pili alipiga goli lingine na Afobe kufunga mengine mawili..
0 comments:
Post a Comment