BantuTzMAGAZETINI-Ni uratatibu ambaoBantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau
wote wa Bantuwaweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali
nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi hudumakupata
habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali.
Hapa utasoma kurasa za magazeti yote nchini.
Ni
kawaida ya millardayo.com kukufikishia magazeti mbalimbali ya Tanzania
kila siku asubuhi ambayo yanakupa nafasi ya kuzijua stori kubwa zote
kutoka kurasa za mwanzo na mwisho kwenye magazeti ya Udaku, michezo na
hardnews.
Endelea kufurahia huduma za BantuTz.com
huku ukiusubiria kwa hamu Mtandao wa kijamii mkubwa na wa kisasa zaidi
uitwao Bantuz hapo mwakani.
0 comments:
Post a Comment