
Marouane Fellani akiwa kwenye interview alielezea jinsi gani kocha wako Van Gaal alivyomkali likija swala la nidhamu. Fellani alielezea kisa kimoja kwamba Van Gaal aliwai kuwalima faini wachezaji kumi baada ya kuchelewa kwa dakika moja.
Hiyo dakika moja sio ya kuchelewa mazoezini bali ni ya kuchelewa kwenda canteen kula baada ya kufanya mazoezi.
0 comments:
Post a Comment