Kipa wa Ufaransa na Hugo Lloris amesaini mkataba wa miaka mitano kuendelea kuichezea Tottenham Hotspur.
Lloris, 27, alijiunga na Spurs akitokea Lyon mwaka 2012 wakati huo chini ya meneja Andre Villas-Boas kwa pauni milioni 8.
Ameichezea Spurs mara 78.
Lloris alikuwa nahodha wa timu ya taifa ya Ufaransa katika Kombe la Dunia, na alicheza mechi zote sita nchini Brazil.
0 comments:
Post a Comment