
Wachezaji wa Uholanzi Arjen Robben na Dirk Kuyt
Uholanzi imeishinda Costa Rica
katika mikwaju ya penalti ili kuungana na Argentina,waandalizi wa
michuano hiyo Brazil na Ujerumani katika michuano ya semi fainali ya
kombe la dunia.
Hakuna timu ilioweza kuona lango la mwengine katika dakika120.
Uholanzi sasa watakutana na Argentina siku ya jumatano huku Brazil ikichuana na Ujerumani katika nusu fainali nyengine siku ya jumaane.
0 comments:
Post a Comment