Facebook

Friday, 22 August 2014

Bodi ya Mikopo yatoa majina ya waombaji wa mikopo waliyokosea katika kutuma maombi yao.

Muda mfupi uliopita Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu nchini imetoa majina ya Wanafunzi wa vyuo waliyokosea vitu mbalimbali kipindi wanatuma maombi. Ikumbukwe kwamba siku za hivi karibuni mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu imekuwa ikiombwa kwa kutuma njia ya Mtandao {OLAS-ONLINE LOANS APPLICATION SYSTEM} ambayo kwa kiasi kikubwa imerahisisha zoezi zima la uoambaji wa mikopo sio kama ilivyokuwa katika kipindi cha nyuma.

Bodi ya mikopo imetoa majina ya Wanafunzi hao waliokosea katika kutuma maombi ya Mikopo.Makosa yaliyofanywa na waombaji wengi wa mikopo ni pamoja na:-
1.Kutokuambatanisha Cheti Cha Kuzaliwa
2.Kitambulisho Cha mdhamini,
3.Kutokusaini sehemu zilizoachwa wazi.
4.Kutokuambatanisha Vyeti vya Uthibitisho.Mfano Cheti Cha kifo.
5.Kutokuambatanisha "PassPort Size"

Waombaji wote ambao hawakusaini sehemu yeyote katika zile Fomu na Viambatanishi vyovyote watatakiwa kwenda wao wenyewe  katika Ofisi za Bodi ya Mikopo Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge- Dar es Salaam iliwaweze kukamilisha Fomu hizo za mikopo na ziweze kushughulikiwa.

Na kwa wale waombaji ambao hawakuambatanisha nakala zilizotakiwa katika Fomu za kuombea mikopo watatakiwa kutuma viambatanishi hivyo pamoja na Barua "Covering Letter" ikiwa na majina yao yote na Namba ya Mtihani ya Kidato cha nne.Zitumwe kwenda katika hii Address

The Executive Director,
Higher Education Students’ Loans Board,P. O. Box 76068,DAR ES SALAAM.

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOKOSEA KATIKA KUTUMA MAOMBI YA MIKOPO NA MAKOSA YAO.

BOFYA KATIKA SEHEMU AMBAYO NI HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO

Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia  Letter 'A' or Letter 'B'

Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia Letter 'C' or Letter 'D' or Letter 'E' 

Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia Letter 'F' or Letter 'G' or Letter 'H'
 
Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia  Letter 'I' or Letter 'J' or Letter 'K'

Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia  Letter 'L' or Letter 'M'

Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia Letter 'N' or Letter 'R'

Waombaji ambao Herufi ya Jina lao la kwanza ni kuanzia Letter 'S' or Letter 'Z'   

Imeandaliwa na ........
                                    Katemi Methsela

0 comments:

Post a Comment