Facebook

Saturday, 15 November 2014

Alichokisema mshiriki wa BBA kutoka Tanzania baada ya tuhumu za "kujichua"

Mshiriki wa BBA 2014 Laveda kwa mara ya kwanza amezungumza na kuweka wazi wakati anahojiwa katika kituo kimpoja kikubwa cha redio nchini na kufunguka juu ya zilizopo zilizopo mtaani zinazodai kuwa mshiiriki mwezake kutoka Bongo Idris alikasirishwa na kitendo cha kumkuta akijichua mara baada ya kupiga kunywa pombe na alionekana moja kwa moja kupitia runinga za Africa

Laveda amesema kuna "miss information" kubwa sana kwenye media, hasa pale mtu anapoongea kila mtu anakuwa anadaka yale madai anayoongea na kusema kuwa Idris alikasirishwa na msichana mwingine na wala haikuwa yeye aliemkasirisha.
"unajua pale BIG Brother wanakuwa wanaficha brands zote sasa sijui labda kuongea kuhusu vivutiio ya nchi yangu na pia kuongea na ma housemate wangu kwamb abaada ya big brother tutafanya hivi na hivi  because i was so impressed"

0 comments:

Post a Comment