Mwanamke mmoja amehukumiwa adhabu ya
kifo nchini Pakistan kwa kosa la kufuru, naye amekwisha kukata rufaa
katika mahakama kuu nchini humo,hukumu hii imekuja miaka minne nyuma
baada ya kukutwa na hatia kwa kumtukana mtume Muhammad Swalalahu ale wa
Salaam.
Asia anashutumiwa kwa kufuru na kikundi kimoja cha wanawake wa kiislam kwa madai ya bibi huyo kutokuwa tayari kugusa birika la maji baada ya wanawake hao kulishika kwa madai ya imani yake.
Pakistani katika sheria zake haina kawaida ya kunyonga raia wake kwa kosa la kufuru lakini mashtaka, adhabu na vifungo vimekuwepo mara kwa mara kwa makosa ya kuutusi uislam.
0 comments:
Post a Comment