Mtunzi wa vitabu,mchungaji na msemaji maarufu Duniani,Dr Munroe
amefariki Dunia katika ajali ya ndege huko Nchini Bahamasi.Ndege hiyo
binafsi ilipata ajali wakati inakaribia kutua kwenye mji wa Bahama.Ajali hiyo imeua watu 11 akiwamo Dr Munroe na Mke wake Ruth Munro.
Ni majuzi
tu Dr Monroe alikuwa Tanzania pale Nkurumah hall-Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Ni pigo kubwa kuwapoteza watu
hawa muhimu katika kizazi hiki.!
Tuendelee kujifunza kupitia kazi walizoziacha Dr.Monroena mke wake.
Aliishauri Tanzania kushikamana na kupendana.Huku akisisitiza kuondoa mizizi yote ya udini na ukabila.Vilevile aliwaasa viongozi kuiga mifano ya viongozi mbalimbali waliokuwa wakiliongoza bara la Afrika hasa kipindi cha ukoloni.
Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata taarifa mbalimbali kwa muda na wakati muafaka.
Monday, 10 November 2014
Dunia yampoteza mtu Mashuhuri,aliyewasaidia wengi.Ni baada ya kupata ajali mbaya ya kutisha.Aiachia Tanzania ujumbe mzito.
Related Posts:
Kumbe Simu ya mkononi inaathari kwa mbegu za kiume Baadhi ya watu wanahisi kuwa uchunguzi zaidi unahitajika Uchunguzi wa utafiti kutoka chuo kikuu cha Exeter nchini Uingereza, unaonyesha kuwa kiwango cha … Read More
Funza chakula kipya cha mifugo Nzi wanafugwa kwa ajili ya kupata Funza wanaotumika kama chakula cha mifugo Je unaweza kula nyama ya mifugo waliolishwa Funza? Kufuga Ngu… Read More
Je ni sawa kumnyonyesha mtoto hadharani? Akina mama wakiwanyonyesha watoto wao Facebook imekuwa ikizua gumzo kuhusu sera na masharti yake ya kuweka picha kwa wanaotumia mtandao hu… Read More
Ni Unyama:House Girl afungiwa ndani na Bosi wake kwa miaka 3 akipewa kipigo na mateso makali Mfanyakazi wa ndani, Yusta Lucas (20) amekumbana na masahibu yanayofanana na yale ya mtoto Nasra Mvungi (4) aliyekuwa amefungiwa kwenye boksi kwa miaka karibu minne huko Morogoro. Huyu amelazwa katika Hospitali ya… Read More
Bajaj zazidi kuonekana katika maeneo ya Jiji la Dar Bajaj ikiwa imebeba abiria katika eneo la Kivuko cha Feri jijini Dar es Salaam. Usafiri wa bajaj na bodaboda umekatazwa katika maeneo ya mji huo. Baada ya bajaj na bodaboda kukatazwa kuonekana maeneo ya mj… Read More
0 comments:
Post a Comment