Baada ya siku ya jana kusambaa kwa covey inayoonyesha majina ya wimbo zitakazokuwepo kwenye album inayofata ya Kanye West "Paris" kusambaa kuwa zimevuja uongozi wakanusha.
Samahanini, majina ya nyimbo yanayosemekana kuwa ni ya album inayofata ya Kanye ni fake, amesema mmoja wa wawikilishi wa Kanye
Ikiwa imeripitiwa na Billboard tracl orodha hiyo ilijumuisha majina kama Lana Del Rey, Migos, Big Sean, Pusha T, Common, Teyana Taylor, Jay Z,Beyonce na wengine kibao (kilichoshangaza wengi ni kuwepo kwa chicago remix ya wimbo "All Day" ikiwa na Cheef Keef na Rhymefest kwenye ngoma hiyo)
0 comments:
Post a Comment