Tinie Tempah amualika WizKid London..........
Msanii anayewika sasa huko nchini Nigeria, Wiz Kid amepata mualiko huko nchini Uingereza kutoka kwa mkali Tinie Tempah msanii kutoka Marekani kuja kumsapoti kwenye show zake anazotarajia kufanya nchini humo "…Read More
0 comments:
Post a Comment