Mtandao wa Forbes umetoa orodha mpya ya
matajiri hamsini kutoka Afrika orodha ambayo
inaongozwa na tajiri wa Nigeria ambae ni
Mfanya biashara maarufu na Rais wa
kampuni ya Dangote Aliko Dangote,
aliyekuwa akishikilia nafasi ya arobaini na
tatu na kupanda nafasi ishirini. Forbes imetoa taarifa hiyo na kusema
Dangote pia anashikiliana nafasi ya
hamsini na saba kwa watu matajiri Duniani.
na mtu wa pili katika watu wenye
ushawishi mkubwa. Dangote ni mfanyabiasha mkubwa
anaefanya biashara za Cement, Sukari,
Unga, Vinjwaji na biashara ya mafuta,
bishara ambayo kwa sasa ina thamani ya
Dola Bilioni ishirini na tano pia ni
mfanyabiashara mweusi anayetajwa sana
kati ya matajiri ishirini na tano Duniani. Mmiliki wa kampuni ya mawasiliano ya
Globacom Chief Mike Adenuga, nae
ameingia katika nafasi ya pili ya matajiri
Nigeria anaemiliki Dola Bilioni nne nukta
sita na kushikilia nafasi ya miatatu ishirini
na tano Duniani.
Nigeria kuishitaki Schalke kwa FIFA
Shirikisho la soka Nigeria
limesesema litaishitaki klabu ya Schalke ya Ujerumani kwa Fifa baada ya
klabu hiyo kukataa kumruhusu mshambu…Read More
"GETO" LA BALOTELLI?Mario Balotelli ndio kwanza amerejea
England, kwa mara ya pili, lakini inaonekana
haijamchukua muda mrefu kugonga vichwa
vya habari, safari hii kwa kuonesha "ladha"
ya mitindo na mambo anayopenda.
Mchezaji huyo wa Liverpool a…Read More
Rais Obama alaani mauaji ya mwandishi
Mwandishi Mmarekani Steven Sotloff aliyeuawa kwa kunyongwa na wapiganaji wa kiisilamu
Rais wa Marekani Barack Obama
amesema kuwa Marekani haitatishwa na mauaji wa mwandishi mwingine wa
habari Mmarekani na kundi la I…Read More
Cleverley ajiunga Aston Villa kwa mkopo.
Aston Villa wamemsajili kiungo wa
Manchester United Tom Cleverley kwa mkopo
hadi mwisho wa msimu. Hata hivyo,
inafahamika kwamba United wana kigezo cha
kumchukua tena mwezi Januari, au Villa
ikamilishe uhamisho wake moja kwa…Read More
0 comments:
Post a Comment