Facebook

Monday, 10 November 2014

Maajabu ya mapacha wanaoshirikiana kila kitu hadi Mpenzi.


 
Huwa si kitu cha ajabu kuona mapacha
wakifanana kila kitu ndani ya familia hadi
kusababisha watu kuwachanganya pindi
wanapokutana nao kama hawajawazoea
kuwaona kila siku.


Mara nyingi mapacha wamekua
wakishirikiana katika vitu mbalimbali
lakini haijawahi kufikia hatua ya
kushiriki hadi mambo ya ndani kabisa
kama vile akaunti,mishahara na
hatamahusiano na mwanaume mmoja eti
kwa vile tu ni mapacha

 
Hii inashangaza kidogo. Huko nchini Australia mapacha waliozaliwa kwa kupishana dakika
moja Anna na Lucy Decingue wenye
miaka 28 wanashirikiana kila kitu
maishani gari,akaunti ya
facebook,benki,mshahara,kazi hata kuwa
na uhusiano wa kimapenzi na mwanaume
mmoja yote huyafanya kwa kushirikiana.

0 comments:

Post a Comment