
Gunners walianza kupata goli la kuongoza kupitia mchezaji wao nyota Alexis Sanchez katika dakika ya 63 lakini yuleyule mchezaji aliyewaliza Man United Gylfi Sigurdsson akaisawazishia Swansea kwenye dakika ya 74.
Akitokea benchi Mshambuliaji Bafetimbi Gomez alifunga goli la ushindi dakika mbili kabla ya mechi kuisha hivyo mpaka mwamuzi anapuliza kipenga cha mwisho jahazi la Arsene Wenger na vijana wake lilikuwa limezama.
MSIMAMO WA LIGI

0 comments:
Post a Comment