Facebook

Sunday, 16 November 2014

Wayne Rooney akabidhiwa tuzo ya "Kofia ya dhahabu".

 

 Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza hapo jana alikabidhiwa tuzo ya heshima ya Kofia ya dhahabu (Gold Cap) hapo jana kabla ya mchezo wa kufuzu Michuano ya EURO dhidi ya Slovenia.Tuzo hiyo ni kama heshima wa Wayne Rooney baada kuitumikia timu ya taifa takribani mechi 100.

Tuzo hiyo ya heshima imekuwa ikitolewa kwa wachezaji mbalimbali wa timu ya taifa ya Uingereza kama shukrani na heshima kuitumikia timu ya taifa hilo kubwa Ulimwenguni

Katika mchezo huo wa jana dhidi ya Slovenia,Kapteni Wayne Rooney aliiongoza vyema timu yake ya taifa baada ya kufunga goli moja huku mengine mawili yyakifungwa na mshambuliaji machachari Danny Welbeck na hatimaye kuibuka na ushindi wa magoli 3-1.

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata na stori mbalimbali kwa muda na wakati muafaka.

Related Posts:

  • Baada ya "Magumashi" Evodius Mtawala aachia ngazi TFF Mkurugenzi wa wa Vyama na Masuala ya Kisheria katika Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Evodius Mtawala, amelazimika kuachia ngazi kutokana na sababu mbalimbali. Taarifa ambazo tumezipata, zinaeleza kuwa Mtawala ambaye aliwah… Read More
  • Usajili kamili wa Simba msimu huu Makipa: Ivo Mapunda na Hussein Shariff ‘Casillas’. Mabeki: Joseph Owino, Donald Mosoti, Abdi Banda, Issa Rashid ‘Baba Ubaya’, Said Nassoro Masoud ‘Chollo’, Joram Mgeveke na William Lucian ‘Gallas’, Viungo: Pierre Kwizera… Read More
  • Uhamisho mkubwa katika usajili msimu huu EPL   Angel Di Maria [Real Madrid - Manchester United] pauni milioni 59.7 Alexis Sanchez [Barcelona - Arsenal] Pauni milioni 35 Diego Costa [Atletico Madrid - Chelsea] pauni milioni 32 Eliaquim Mangala [FC Porto - Man… Read More
  • Wenger apanda ndege kuelekea Roma,Italy Arsene Wenger ameonekana akipanda ndege kutoka London kwenda Rome, Italy. Meneja huyo amekubali kuwa meneja wa timu itakayocheza mechi maalum ya amani, katika mchezo wa soka wa unaojumuisha imani mbalimbali ulioandaliwa na P… Read More
  • Wachezaji waliosajiliwa kwa bei ghali msimu huu 2014/151. Luis Suarez €88m 2. James Rodriguez €80m 3. Angel di Maria €75m 4. David Luiz €49.5m 5. Eliquim Mangala €44.5m 6. Diego Costa €44m 7. Alexis Sanchez €40m 8. Luke Shaw € 37.8 … Read More

0 comments:

Post a Comment