 
 Hivi ni moja ya vitu ambavyo unapokutana navyo, moja kwa moja ni lazama ushangae, hivi unajua kikombe kinaweza kupima aina ya kinyaji unachokunywa?
Haya ndiyo maendeleo ya kiteknolojia 
ambapo unaambiwa hiki kikombe kina uwezo wa kupima cafeine kutoka 
iliyopo kwenye kinywaji unachokunywa, pamoja na kitu kingine chochote 
ambacho kimo ndani ya kinywaji hicho hata kama ni kilevi, iwapo ukanywa 
halafu ukashusha kikombe chini na una kiu bado kinakupa ishara kwamba 
unatakiwa unywe tena kinyaji unachokunywa.
 





 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment