Hichi ndicho alichopost Ney Wa Mitego katika ukurasa wake wa Facebook
"Tangazooooooooo uwe dj, mc, presenter, au yoyote Yule ikatokea ukapiga 
wimbo wa huyu Mr majasho Davido mbele yangu kiukweli nitakupiga tuh!! 
Yani nitakupiga tuuu!! Ata iwe club nitakufata ulipo mr dj ili nikupe 
haki yako.. Nilishawai kusema kwny intrvw km mbili ivi kwmb awa jamaa 
tuwapunguze kiasi coz tunawapa nafasi kubwa kuliko mziki we2 alafu wao 
hawatupi nafasi ya sisi kupenya kwao,, 
haya ndo baadhi ya matokeo sasa.. Huu ni wakati we2 sasa artist wa Tz na east Africa
 nzima tushikane tusonge..!! 966  Hongera mwanangu mwenyewe 
diamondplatnumz wanyooshe mi nipo njiani naja kuungana nawewe..!! 
Nawapenda wote mnaosapoti mziki we2 bila unafiki kwa umoja huu tutafika 
2!! Km Huna chakuongea usi comment plzzz coz nitakupa majibu 
ninayojickia binafsi.. Love you all Nimemaliza "Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata stori ma habari mbalimbali kutoka kila pande ya dunia kwa wakati na muda muafaka.


 





 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment