Dada wa mke wa Kanye West
 (Kim kardashian),Kourtney kardashian  amejifungua mtoto wake wa tatu 
siku ya jumapili ikiwa ni siku moja na tarehe aliyomzaa mtoto wake wa 
kwanza "Mason".
Kourtney aliamuwa kuweka wazi jina na picha hiyo kupitia mtandao wa kijamii siku ya jana 
Mtoto huyo wa tatu
 ambae ni wa kiume amepewa jina "Reign Aston Disick" na kuonyeshwa 
sehemu ndogo ya mwili wake (mkono) wiki moja baada ya kujifungua kupitia
 mtandao wa instagram ambao  Kourtney anazaidi ya followers milioni 12. 
 
 





 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment