 
Katika siku za hivi karibuni picha 
za mtu ambaye alizikwa ndani ya gari aina ya Hummer SUV Jeep nchini 
Nigeria zimekuwa zikienea katika mitandao ya kijamii na kuzua mjadala 
miongoni mwa raia wengi wa taifa hilo.
Picha hizo zilitoka katika 
mtandao wa twitter wa msichana mmoja raia wa Kenya anayetumia jina 
@Sankorie katika mtandao wake ambaye alishangazwa na kusema kuwa wanaume
 wa Nigeria ni matajiri hadi wengine huzikwa ndani ya magari yenye 
thamani ya juu,swala ambalo haliwezi kufanyika nchini Kenya.
Je, unadhani ni kweli kwamba mtu anaweza kuzikwa ndani ya gari lake?
 
0 comments:
Post a Comment