
Arsenal na Liverpool wanachuana na Juventus katika kuwania saini ya beki wa kulia wa Barcelona Martin Montoya, mwenye 23 ambae amekosa namba kwenye kikosi cha barca.
Klabu yaNapol ya itali wanaangalia uwezekano wa kumsajili winga Yannick Bolasie, mwenye miaka 25.Toka klabu ya Crystal Palace.
Timu ya Man United wako tayari kupamba na Real Madrid ili kuweza kupata saini ya kiungo Christoph Kramer anaekipiga na klabu ya Borussia Monchengladbach,.
Winga wa Chelsea Thorgan Hazard yuko tayari kujiunga na Borussia Monchengladbach kwa mkataba kamili baada ya kufanya vizuri katika msimu wake wa kwanza anakocheza kwa mkopo toka Chelsea.
0 comments:
Post a Comment