
Chelsea imeanza Ligi Kuu England kwa ushindi wa Ugenini huko Turf Moor dhidi ya Timu iliyopanda Daraja Burnley ambayo
wameifunga magoli 3-1 magoli yote ya Mechi hii yalifungwa Kipindi Cha Kwanza lakini ni Burnley ndio walitangulia kufunga kwa goli lililofungwa na Shucott Arfield dakika ya 14 na Diego Costa akicheza Mechi yake ya kwanza ya Ligi, kusawazisha Dakika ya 17.

Endelea kutembelea www.bantutz.com.Mwambie mwenzio BantuTz.com imerudi.
0 comments:
Post a Comment