Hii inaitwa Dead Sea aka “Bahari
Iliyokufa” kutokana na ukweli
kwamba maji yake yana chumvi
nyingi kiasi cha kwa asilimia 33.7
kwamba si rahisi kwa viumbe vyenye
uhai kuishi ndani na lugha nyingine
huitwa salt sea ambayo iko katikati
ya Jordan na Upande wa Magharibi
inapakana na Israel.Sifa ya bahari hii
ni watu wakiingia hawawezi kuzama
na wengine huingia huku wakisoma
magazeti ili kuthibitisha
wanachokisikia kama huyo mdau
hapa chini.....
0 comments:
Post a Comment