Facebook

Wednesday, 20 August 2014

MAAJABU YA DUNIA!!TAZAMA HAPA BWAWA LAMVINYO LILILOKO JAPAN.


Yaani ni moja ya maajabu ya
dunia hii iliyojaa vitu vingi na
hata vingine hatuvijui... Napenda
kukujulisha kwamba moja kati ya
mambo mapya machoni mwangu
ni hili bwawa la kuogelea ambalo
tofauti na mabwawa mengine, hili
halina maji bali lina mvinyo
mwekundu yaani ''Red Wine''
Bwawa hilo lipo nchini Japan na
wamiliki wa hotel ambayo hii
swimming pool ipo walipata idea
ya kulijenga kutoka kwa malkia
wa Misri enzi za kale Cleopatra
ambaye inasemekana alikuwa na
Kawaida ya kuoga kwenye mvinyo
ili kurutubisha ngozi
yake...Mvinyo huo unamwagika
toka kwenye chupa unayoiona
hapo kwenye picha..... Chupa hiyo
ina urefu wa mita 3.6.


Endelea kutufuatilia ili tuendelee kukujuza matukio mbalimbali ulimwenguni.

0 comments:

Post a Comment