Maajabu ya uumbaji yamemfanya
mama mzazi wa Xiao Wei ambaye
ni mchina amwage machozi
akiomba msaada wa kunusuru
maisha ya mwanae mwenye umri
wa miezi 7 aliyezaliwa na mkia...
Kalio la tatu lipo kama mkia
mfupi, wenye urefu wa sentimita
8 ( 8 cm ), katikati ya makalio
mengine mawili.
Akiongea kwa uchungu, mama
mzazi wa mtoto huyo amedai
kuwa kwa muda mrefu amekuwa
akiwaomba madaktari wafanye
upasuaji wa tako hilo lakini wao
wamekuwa wakimjibu kuwa hiyo
si kazi nyepesi kama
anavyodhani....
"Tukilikata litaota tena, hivyo
hatutakiwi kukurupuka na
badala yake tutakiwa kupata
muda wa kupitia vitu vingi
ukiwemo mrija wa uti wa
mgongo ambapo MKIA huo
umejiegesha" ...Alisema daktari
mmoja akimjibu mama huyo.
0 comments:
Post a Comment