Facebook

Friday, 22 August 2014

Mtangazaji Joyce Kiria "Wanawake Live" afanyiwa unyama wa kutisha usiku wa kuamkia Leo..

 Joyce Kiria's photo.
 Mtangazaji wa kipindi cha WANAWAKE LIVE,Bi Joyce Kiria usiku wa kuamkia leo amepatwa na majanga makubwa.
Baada ya kuamka na kukuta gariblake alilikuwa akilitumia katika shughuli zake za kila siku likiwa limeharibiwa vibaya na wezi waliokuwa wameruka ukuta na kuiba karibia kila kitu katika gari hiyo huku wakiacha viti,bodi ya gari na tairi tatu.
Inasikitisha sana kwa juhudi anazofanya kila siku katika njia ya kujikwamua kimaisha.
Kupitia ukurasa wake wa facebook,Joyce kiria ameacha ujumbe mzito sana kutoka na na tukio hilo;ambao unaweza kuusoma hapa chini
 Joyce Kiria's photo.
"Haya ndo yaliyotukuta usiku wa leo.... Tumeamka tukakutana na gari ikiwa haina kitu kabisa, kilichobaki ni viti na bodi na tairi tatu.......inauma sana kuona kwamba unafanya bidii ya kujikwamua kimaisha wakati huohuo shetani nae anafanya bidii ya kukurudisha nyuma!!! #Inaumasana... lakini Namshukuru Mungu kwa #Uzima!!! mengine ni ziada na ukiweka bidii vinapatikana...acha maisha yaendelee...

 Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata habari mbalimbali kutoka kila sehemu kwamuda na wakati muafaka.




Related Posts:

  • Mwimbaji maarufu na mshiriki wa shindani la X FACTOR afariki dunia. Simone Battle ambae alikua ni mshiriki kwenye shindano la X Factor mwaka 2011 na vilevile mwimbaji kutoka kundi la waimbaji wa kike la G.R.L amekutwa amefariki nyumbani kwake Los Angeles Marekani. Bado chanzo … Read More
  • Mtanangazaji maarufu CNN "abwaga manyanga"Mtangazaji wa TV Piers Morgan ameacha kazi katika shirika la habari la Marekani la CNN, licha ya kupewa nafasi ya kuongeza mkataba wake. Morgan ame tweet akisema anakwenda "kujaribu mambo mengine mapya" baada ya wakuu wa … Read More
  • Diamond awaomba mashabiki kumpigia kura Tuzo za Channel O    Ni hatua kubwa anazozidi kuzipiga msanii wa kizazi kipya nchini,Diamond Platnumz,ambaye hivi sasa anaipeperusha vyema bendera ya Taifa hili. Ni katika hatua nyingine ambayo mafanikio yanazidi kusogea,Diamond kup… Read More
  • "GETO" LA BALOTELLI?Mario Balotelli ndio kwanza amerejea England, kwa mara ya pili, lakini inaonekana haijamchukua muda mrefu kugonga vichwa vya habari, safari hii kwa kuonesha "ladha" ya mitindo na mambo anayopenda. Mchezaji huyo wa Liverpool a… Read More
  • Mchekeshaji maarufu aaga duniaMchekeshaji maarufu nchini Marekani Joan Rivers amefariki dunia akiwa na umri wa miaka themanini na na mmoja. Joan alikuwa amelazwa katika hospitali moja mjini New York kwa wiki kadhaa sasa akisumbuliwa na maradhi ya moyo. Me… Read More

0 comments:

Post a Comment