Facebook

Friday, 22 August 2014

Muangalie mwanamke huyu mwenye viungo vya ajabu duninai.


Katika picha hapo juu ni mwanamke anayefahahamika kwa jina la Jeo O'Shea,kutoka Marekani. 
 
Miaka miwiliiliyopita aligundulika na ugonjwa wa kansa ya mifupa, ambayo ilikua imeharibu mfupa mmoja katika goti lake la mguu wa kulia.
 
Mwaka 2011 alifanyiwa upasuaji na kuondoa sehemu hiyo ya mfupa iliyokua imeathirika na saratani, lakini baada ya upasuaji akaja kugundua kua anauwezo wa kuzungusha mguu wake kwa nyuzi 180 bila ya kusikia maumivu.

0 comments:

Post a Comment