Habari njema kwa upande mmoja na vilevile ni habari habari mbaya kwa upande wa pili wa shilingi kwa watumiaji wa Mtandao wa kijamii unaozidi kujizolea umaarufu mkubwa hivi sasa ujulikanao kama WhatsApp.
Leo hii Mtandao wa WhatsApp umeongeza nafasi za watu watakaokuwa katika 'Magroup' mbalimbali ya WhatsApp kutoka idadi ya watu 50 mpaka 100
Habari mbaya zaidi ni kwamba
baada ya mwezi mmoja 'magroup' yote yataanza kulipiwa gharama ya dola za kimarekani 30 [Usd 30].
Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kujua kitakachojiri kuhusiana na mtandao huo.
0 comments:
Post a Comment