Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo
kinashuka dimbani kumenyana na timu ya Taifa ya Swaziland
katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda
ya Shirikisho la soka la kimataifa (FIFA), utakaopigwa kwenye
uwanja wa Taifa wa Somhlolo, nchini Swaziland.
Channel 116 ZBC-2 inayopatikana kwenye king'amuzi cha
Azam tv, itaonyesha mpambano huo. Mungu ibarika Taifa
Stars, Mungu ibariki Tanzania.
Sunday, 16 November 2014
Tanzania dumbani leo dhidi ya Swaziland,Mechi live Azam Tv.
Related Posts:
Maombi ya kumuombea Falcao yaanza kujibiwa Colombia.... Nchini Colombia maombi ya kumuombea Rademel Falcao yanaonyesha kupata majibu mazuri baada mshambuliaji huyo kuanza mazoezi na wachezaji wenzie wa kikosi cha timu ya taifa ya Colombia. &nb… Read More
Umeisikia hii kuhusiana na mchezaji kudanganya umri huko Italia ? Uchunguzi wa chama cha soka la Italia FIGC umebaini kuwa kiungo wa Lazio Joseph Minala umri wake ni miaka 17 na sio miaka 42. Tovuti mmoja ya Afrika mwezi Februari ilisema Minala ambaye ni mzaliwa na C… Read More
Real Madrid yaadhibiwa kwa ubaguzi wa rangi Mabingwa wa Champions League shurti kutangaza vita dhidi ya ubaguzi wa rangi-UEFA Shirika la kandanda la Europa, UEFA, limeiwekea vikwazo… Read More
LA Clippers yapata mmiliki mpya Shelly Sterling aliekuwa mke wa zamani wa Donald Sterling ameiuza L.A. Clippers kwa aliekuwa CEO wa Microsoft Steve Ballmer kwa dolla billion 2. TMZ Sports imeripoti kuwa dili hiyo imesainiwa usiku ka… Read More
Kolo Toure augua malaria,ashindwa kucheza mechi... Beki wa Liverpool na Ivory Coast Kolo Toure amepata malaria, na kushindwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Bosnia-Herzegovina. Toure aliugua wakati akisafiri kwenda Marekani, lakini anatazamiwa kuwa atapona na k… Read More
0 comments:
Post a Comment