
kwa kipindi hiki nime banwa na mkataba na Manchester United.wakala wangu anafikilia na kuzi chambua ofa zilizo tumwa ikiwemo ya Juventus.Lakini sio siri kama mabavyo isivyo kua siri kwamba ni mekataa kuongeza mkataba na Manchester United"
"naijua ligi ya Italia na nina uhakika sitakua katishwa tamaa kucheza huko kwani ni moja ya ligi bora lakini sija fanya uwamuzi wowote mpaka sasa"
"mbali na hayo yote nitazi chambua na kuzichunguza ofa zote nilizo zipokea na nitapima mambo yangu kabla ya kufanya uwamuzi wowote.swala la kifedha litakua la muhimu lakini sio kipengele cha kuzingatia sanaa.
-kuondoka kwa vijana wenye vipaji katika klabu ya Manchester United,nini tatizo na nani alaumiwe?
0 comments:
Post a Comment