
Hili ndilo basi bovu walilopewa timu ya Azam na wenyeji wao mara baada ya kuwasili nchini Sudan alfajiri ya leo.
Azam watacheza na timu ya El-Merreik mwishoni mwa wiki hii katika mchezo wa marudiano katika michuano ya ligi ya Mabingwa barani Afrika.
Entertainment and Updates
0 comments:
Post a Comment