
Rapa anayechipukia Rymir Satterthwaite anasema Jay z ni baba yake mzazi na anataka vipimo vya DNA. Kijana huyu mwenye miaka 21 anasema Jay Z alikuwa na mahusiano na mama yake kwenye miaka ya 90's .
Kwa kuwaangalia tu,je wanafanana au dogo anatafuta kiki? Acha comment yako hapa chini....
0 comments:
Post a Comment