
Mwanariadha raia wa Uingereza mwenye asili ya Somalia Mo Farah ameweka rekodi mpya katika mashindano ya ndani ya Birmingham Grand Prix, ya umbali wa Maili 2 sawa na kilomita 3.22.
Farah mwenye umri wa miaka 31 ametumia dakika 8 na sekunde 3.40 na kuvunja rekodi ya Kenenisa Bekele raia wa Ethiopia ya dakika 8 na Sekunde 4.34.
0 comments:
Post a Comment