Star wa muziki
Matonya,
ambaye kwa
sasa anatikisa chati na ngoma yake inayokwenda kwa jina 'Homa ya Jiji',
amesema baada ya kipindi cha
kutingwa na
mambo yaliyokuwa yanamuweka nje ya gemu, sasa amerejea kikazi zaidi Wakati akirejea
Matonya pia amekaribisha
wale wanaotaka kufanya naye kazi kufanya hivyo sasa.
Matonya ambaye pia hivi
karibuni ametangaza kuwa anatoa
ngoma kila mwisho wa mwezi,
amesema kuwa yupo kikazi zaidi sasa, majukumu yake binafsi yakiwa yamekaa sawa na kutoa nafasi kwa yeye kuirudia nafasi
yake.
0 comments:
Post a Comment