Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari
aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga
imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka
picha ile na kwamba amejianika na haina maadili.
santamolly1234 ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata na dogo still mnasema anajua kulea labda kumlea mond hapo sawa....by de way nahis alivuka stage coz kasoma sana so bata ndo anazianza so cwez mlaum sanaaaaaaa muache ale maisha tuuuu.
faridahfakhi Sasa nashindwa kuelewa ivi we wewe ndo unajianika ivyo alafu ndo uwe mke labda wa fission show
ladymodal Simama tukuoneee....bad!
0 comments:
Post a Comment