
Vinara wa Ligi kuu ya England,wameingia mkataba mnono na kampuni ya Yokohama utakaoifanya klabu hiyo kuanza kuiweka 'logo' ya Yokohama kwenye jezi zao mapema msimu ujao.
Mkataba huo mpya ni zaidi ya mara mbili wa ule wa awali ambao klabu ya Chelsea ilikuwa ikikusanya paundi milioni 18 kwa mwaka lakini huu mpya utaifanya chelsea kukusanya Paundi milioni 40 kwa mwaka na kuwatupa mbali Arsenal, Liverpool na Man city kwenye mikataa ya udhamini.
0 comments:
Post a Comment